top of page


Timu zote 22 Kuumiza Nyasi Jumapili Hii kwenye Kampeni za NERL
Na HEART MEDIA Ijumaa, 23 Agosti 2024. MECHI 11 zimepangwa kupigwa Jumapili hii tarehe 25 Agosti kwenye mfululizo wa kampeni za FKF Kundi...
heartmediak4
Aug 23, 20242 min read


Koth Biro: Kiambiu, Ziwani Allstars Kundi Moja na Mabingwa Watetezi Pumwani Sports.
Na HEART MEDIA Jumatano, 21 Agosti 2024 MABINGWA watetezi kwenye taji la Koth Biro, Pumwani Sportiff wamepangwa Kundi F kwenye kampeni za...
heartmediak4
Aug 21, 20241 min read


Ngarambe ya Koth Biro Yazinduliwa
Na HEART MEDIA Jumanne, 20 Agosti 2024 MABINGWA wa michuano ya Kothbiro, Pumwani Sports United wamelazimishwa kutoka nguvu sawa bao 1-1...
heartmediak4
Aug 20, 20241 min read


Ruben FM Cup: Minto, Mukuru Wazee Zavuna, Nyati, Shofco Zikijikwaa
Na HEART MEDIA Jumanne, 20 Agosti 2024 MICHUANO ya Ruben FM Cup imeonyesha ushindani wa aina yake baada ya kipute hicho kuingia raundi ya...
heartmediak4
Aug 20, 20242 min read


Kariobangi Tayari Kutuzwa Mabingwa wa Taji la NERL
Na HEART MEDIA Jumanne, 20 Agosti 2024 KARIOBANGI Legends Youth imekaa mkao wa subira kutawazwa wafalme wa kampeni za FKF Kundi B Ligi ya...
heartmediak4
Aug 20, 20242 min read


NERL: Kariobangi Kuendea Pointi 3 Ili Kukaa Mkao wa Kula
Na HEART MEDIA Ijumaa, 16 Agosti 2024. KARIOBANGI Legends Youth wikendi hii inapigiwa chapuo kuibuka mabingwa wa kampeni za FKF Kundi B...
heartmediak4
Aug 16, 20242 min read


Kivumbi Kikali Kushushwa Wikendi Michuano ya Ruben FM Cup
Na HEART MEDIA Ijumaa, 16 Agosti 2024 KIVUMBI kikali kinanukia wikendi hii (Jumamosi na Jumapili) kwenye kampeni za kufukuzia ubingwa wa...
heartmediak4
Aug 16, 20242 min read


Kariobangi Legends Youth Msimu Mmoja NERL Umetosha
Na HEART MEDIA Jumanne, 13 Agosti 2024 KARIOBANGI Legends Youth inahitaji kushinda mchezo mmoja ili kukaa mkao wa kula ikisubiria...
heartmediak4
Aug 13, 20242 min read


Nyati FC, Corinthians FC Kila Moja Ange Kubeba Ruben FM Cup
Na HEART MEDIA Jumanne, 13 Agosti 2024 NYATI FC na Corinthians FC ni kati ya vikosi ambavyo vimefungua vyema kampeni za soka kufukuzia...
heartmediak4
Aug 13, 20242 min read


Handiboli: Equity Bank, KDF Zatetemesha Taji la Super Cup
Na HEART MEDIA Jumanne, 13 Agosti 2024. MASHINDANO ya handiboli kuwania taji la Super Cup makala ya mwaka huu yalishuhudia ushindani...
heartmediak4
Aug 13, 20242 min read


Patshika 6 Ligi Kuu ya Hoki Kupigwa Wikendi Hii
Na HEART MEDIA Ijumaa, 9 Agosti 2024. KAMPENI za Ligi Kuu ya magongo ya wanaume na wanawake zinaingia wiki ya pili wikendi hii ambapo...
heartmediak4
Aug 9, 20241 min read


Ngarambe ya Ruben FM Cup Kukunjua Jamvi Wikendi Hii
Na HEART MEDIA Ijumaa, 9 Agosti 2024 MICHUANO ya Makala ya saba kuwania taji la Ruben FM Cup imeratibiwa kung'oa nanga rasmi wikendi hii...
heartmediak4
Aug 9, 20242 min read


Vita Vya Kipute cha NERL Kuendelea Kwa Mechi 11 Jijini Nairobi
Na HEART MEDIA Ijumaa, 9 Agosti 2024 ITA vya kufukuzia taji la FKF Kundi B Ligi ya Kanda ya Nairobi Mashariki (NERL) zimeratibiwa...
heartmediak4
Aug 9, 20242 min read


Kariobangi L. Youth Yataka Kushinda Mechi 4 Ifungie Mahasimu wao Mbio za Kipute cha NERL
Na HEART MEDIA Jumatano, 7 Agosti WACHANA nyavu wa Kariobangi Legends Youth wanahitaji kushinda patashika nne ili kuhakikisha wameibuka...
heartmediak4
Aug 7, 20242 min read


Handiboli: NCPB, Equity Bank Zajitosa Fainali Super Cup
Na HEART MEDIA Jumanne, 6 Agosti 2024 TIMU ya wanaume ya handiboli ya Halmashauri ya Nafaka na Mazao nchini (NCPB) imeadhibu Kenya...
heartmediak4
Aug 6, 20242 min read


NERL: Kariobangi Legends Youth Kama Moto Nyikani
Na HEART MEDIA Jumanne, 6 Agosti 2024 KAMWE Kariobangi Legends Youth haitaki mzaha kwenye kampeni za FKF Kundi B Ligi ya Kanda ya Nairobi...
heartmediak4
Aug 6, 20242 min read


Malkia Strikers Kusaka Ushindi wa Kwanza dhidi ya Japan Voliboli ya Olimpiki
Na HEART MEDIA Ijumaa, 02 Agosti 2024 VIPUSA wa Malkia Strikers Jumamosi hii ya tarehe 3 Agosti wataingia dimbani kukabili Japan kwenye...
heartmediak4
Aug 3, 20241 min read


NERL Kutinga Raundi ya 36, Kariobangi Legends Youth Ikiendea Pointi 3
Na HEART MEDIA Ijumaa, 02 Agosti 2024 NGARAMBE ya FKF Kundi B Ligi ya Kanda ya Nairobi Mashariki (NERL) wikendi hii (Jumamosi tarehe 3...
heartmediak4
Aug 2, 20242 min read


NERL: Kariobangi Legends Youth Yanusia Ligi ya Taifa Daraja la Pili
Na HEART MEDIA Jumatatu, 29 Julai 2024. KARIOBANGI Legends Youth imevuna pointi sita baada ya kucheza mechi mbili wikendi, Jumamosi na...
heartmediak4
Jul 29, 20242 min read


Olimpiki: Malkia Strikers Kusaka Angalau Seti Moja Mbele ya Brazil
Na HEART MEDIA Jumapili, 28 Julai 2024 WAREMBO wa Malkia Strikers kesho Jumatatu tarehe 19 Julai, watashuka dimbani kukabili Brazil...
heartmediak4
Jul 28, 20242 min read
bottom of page