top of page


Kariobangi Legends Youth, Tusker Youth Itakuwa Mechi Bab'Kubwa
Na HEART MEDIA Alhamisi 28, Novemba 2024. KIVUMBI kikali kinatazamiwa kushuhudiwa wikendi hii kwenye mechi za Kundi C Ligi ya Taifa...
heartmediak4
Nov 28, 20242 min read


Timu 6 za Kigeni Kushiriki Voliboli ya Kipchumba Karori International
Na HEART MEDIA Alhamisi 28, Novemba 2024 SHINDANO la voliboli kuwania taji la Kipchumba Karori International linatazamiwa kuleta pamoja...
heartmediak4
Nov 28, 20242 min read


Koth Biro: Kiambiu Warriors, Mathare Commbann Zatinga Fainali Mwaka Huu
Na HEART MEDIA Jumatatu 25, Novemba 2024. MATUMAINI ya Mbuta FC kunasa tikiti ya fainali ya makala ya 47 kuwania taji la Koth Biro...
heartmediak4
Nov 25, 20242 min read


Nyahururu Griffons Hoi Mbele Ya Kariobangi Legends Youth Daraja 2
Na HEART MEDIA Jumatatu 25, Novemba 2024 NYAHURURU Griffons imerejea makwao mikono mitupu baada ya kufinywa na Kariobangi Legends Youth...
heartmediak4
Nov 25, 20242 min read


Black Stars Wazee Yaona Moshi Dhidi ya Kariobangi Legends Wazee Japo Kirafiki
Na HEART MEDIA Jumatatu 25, Novemba 2024 TIMU ya Black Stars Wazee imeshindwa kutamba mbele ya Kariobangi Legends Wazee kwenye mchuano wa...
heartmediak4
Nov 25, 20241 min read


Mpango Mzima Huu Hapa Nusu Fainali Gozi la Koth Biro
Na HEART MEDIA Jumapili 24, Novemba 2024 KIVUMBI kikali kinatazamiwa kushuhudiwa kwenye nusu fainali za makala ya 47 kuwania taji la Koth...
heartmediak4
Nov 24, 20242 min read


Patashika 8 Kupigwa Kundi C Ligi ya Daraja la Pili
Na HEART MEDIA Ijumaa 22, Novemba 2024 PATASHIKA nane zimeratibiwa kuchezwa Jumapili hii (tarehe 24, Novemba 2024) kwenye mfululizo wa...
heartmediak4
Nov 22, 20242 min read


Kariobangi Legends Wazee na Black Stars Wazee Kukipiga Jumapili Ijao
Na HEART MEDIA Jumanne 19, Novemba 2024 TIMU ya Kariobangi Legends Wazee imepania kupiga patashika tatu ugenini japo za kupimana nguvu....
heartmediak4
Nov 19, 20241 min read


Voliboli: Chemasteel Yafagia Wapinzani Wengine Kibabe
Na HEART MEDIA Jumanne 19, Novemba 2024 TIMU ya wanaume ya Chemasteel imefagia wapinzani wao kwenye mechi tatu za mkondo wa kwanza katika...
heartmediak4
Nov 19, 20242 min read


Vidume wa Western Jaguars Ndio Mabingwa Ligi Kuu ya Magongo
Na HEART MEDIA Jumanne 19, Novemba 2024 TIMU ya wanaume ya Western Jaguars ndio mabingwa wa ligi kuu ya magongo msimu huu baada ya kuzoa...
heartmediak4
Nov 19, 20242 min read


Watch and Learn FC Tayari Kushiriki Nusu Fainali za Gozi la Koth Biro
Na HEART MEDIA Jumanne 19, Novemba 2024 KOCHA wa Watch and Learn FC, Abdimajid 'Naja' Mumin amejipiga kifua kwamba wamo tayari kwa nusu...
heartmediak4
Nov 19, 20241 min read


Watch and Learn FC, Mbuta FC Hizooo Nusu Fainali Koth Biro
Na HEART MEDIA Ijumaa, 15 Novemba 2024 TIMU ya Watch and Learn FC imeadhibu Kayole Select FC kwa mabao 3-1 kwenye robo fainali za makala...
heartmediak4
Nov 15, 20242 min read


Ligi ya Daraja ya Kwanza Voliboli ya Vidume Kufungua Pazia Ijumaa Hii
Na HEART MEDIA Alhamisi 14, Novemba 2024\ KAMPENI za ligi ya taifa daraja ya kwanza katika voliboli ya wanaume msimu huu zimeratibiwa...
heartmediak4
Nov 14, 20241 min read


Koth Biro: Robo Fainali Wacha Katambe
Na HEART MEDIA Jumatano, 13 Novemba 2024. KIVUMBI kikali kinatazamiwa kushuhudiwa kwenye mechi za robo fainali za makala ya 47 kuwania...
heartmediak4
Nov 13, 20242 min read


Pumwani Sports, Kariadudu Akili Kichwani Robo Fainali za Koth Biro
Na HEART MEDIA Jumanne, 12 Novemba 2024 PUMWANI Sports Club na Kariadudu FC kila moja inapiga hesabu ya mechi za robo fainali za makala...
heartmediak4
Nov 12, 20242 min read


Nzau: Tumezingua Wenyewe Mbele ya Kariobangi Legends
Na HEART MEDIA Jumanne, 12 Novemba 2024 TIMU ya Dandora Legends imeona giza baada ya kubamizwa kwa mabao 2-1 na Kariobangi Legends Wazee...
heartmediak4
Nov 12, 20242 min read


sammy Kempes Kutoa Maokoto ya Washindi wa Koth Biro
Na HEART MEDIA Jumanne, 12 Novemba 2024 MWANIAJI wa kiti cha Rais wa Shirikisho la Soka ya Kenya (FKF), Sammy 'Kempes' Owino ametangaza...
heartmediak4
Nov 12, 20242 min read


Vidume wa Western Jaguars Wamekaa Pazuri Kutwa Ligi Luu ya Magongo
Na HEART MEDIA Jumanne, 12 Novemba 2024 VIDUME wa Western Jaguars wanaokuja kwa kasi wanazidi kujiweka pazuri kwa mara ya kwanza kutwaa...
heartmediak4
Nov 12, 20242 min read


Kiambiu Warriors Yakanyanga Omena FC Kipute cha Koth Biro
Na HEART MEDIA Ijumaa, 8 Novemba 2024 TIMU ya Kiambiu Warriors imejiunga na Kamkunji Falcons pia Mbuta FC katika orodha ya vikosi ambavyo...
heartmediak4
Nov 8, 20241 min read


Leads United Yaonyesha Mlango Kipute cha Kothbiro
Na HEART MEDIA Jumanne 5, November 2024 TIMU ya Leads United imelambishwa sakafu na Mbuta FC na kuaga mashindano ya makala ya 47 kuwania...
heartmediak4
Nov 5, 20242 min read
bottom of page