top of page


Ruben FM Cup: Wilson Aviators Yajitosa Kibabe Hatua ya 16 Bora
Na HEART MEDIA Jumanne, 10 Septemba 2024 WILSON Aviators FC imemaliza kibabe mchujo wa makala ya saba kuwania taji la Ruben FM Cup baada...
heartmediak4
Sep 10, 20242 min read


Koth Biro: Ziwani All Stars Itahitaji Kuzima Pumwani Sports Ili Kufuzu
Na HEART MEDIA Jumanne, 10 Septemba 2024 ZIWANI All Stars imekaa vizuri kufuzu kwa mechi za raundi ya 16 bora kwenye kampeni za makala ya...
heartmediak4
Sep 10, 20242 min read


Watch and Learn FC Yatwaa Taji la The Rissa Tournament
Na HEART MEDIA Jumanne, 10 Septemba 2024 TIMU ya Watch and Learn FC imetawazwa mabingwa wa taji la The Rissa Football Tournament kwenye...
heartmediak4
Sep 10, 20241 min read


Vikosi Vya Bowling Wanaume na Wanawake Vinajinolea Ngarambe ya Afrika Nchini Botswana
Na HEART MEDIA Ijumaa, 6 Septemba 2024. TIMU za taifa za mcheo wa Bowling kitengo cha wanaume na wanawake zinaendelea na mazoezi tayari...
heartmediak4
Sep 6, 20241 min read


Leads United Yanusia 16 Bora Ngarambe ya Koth Biro
Na HEART MEDIA Ijumaa, 6 Septemba 2024 TIMU ya Leads United inakaa pazuri kutwaa tiketi ya kushiriki mechi za hatua ya 16 bora kwenye...
heartmediak4
Sep 6, 20242 min read


Ruben FM Cup Yaingia Mechi za Mwisho za Mchujo
Na HEART MEDIA Ijumaa, 6 Septemba 2024 NGARAMBE ya makala ya saba kuwania taji la Ruben FM CUP inaingia mechi za mwisho za mchujo wikendi...
heartmediak4
Sep 6, 20242 min read


Kariobangi Yazima Makeke ya RYSA na Kuibuka Wafalme wa Soka la Nairobi (NRL).
Na HEART MEDIA Jumanne, 3 Septemba 2024 KARIOBANGI Legends Youth imekomoa Runda Youth Sports Association (RYSA) katika fainali ya Ligi ya...
heartmediak4
Sep 3, 20242 min read


Sikh Union Nairobi Yazidi Kukomaa Magongo ya Masters Series
Na HEART MEDIA Jumanne, 3 Septemba 2024 WACHEZAJI wa timu ya magongo ya Masters Series ya Sikh Union Nairobi wameonyesha wanazidi...
heartmediak4
Sep 3, 20242 min read


Patamu Patashika 2 Zikizalisha Magoli 8 Kipute Cha Koth Biro
Na HEART MEDIA Jumanne, 3 Septemba 2024 MAGOLI nane yamejazwa kimiani kwenye mechi mbili za makala ya 47 kuwania taji la Koth Biro...
heartmediak4
Sep 3, 20242 min read


Chipukizi Watesa Mchezo wa Bowling, Kjellan Ikitwaa taji la ASUS Cup
Na HEART MEDIA Jumanne, 3 Septemba 2024 TIMU za wachezaji wasiozidi miaka 40 zatamba mbele ya wenzao waliozidi miaka 50 kwenye shindano...
heartmediak4
Sep 3, 20242 min read


Nyati FC, Gateway FC Zajitosa 16 Bora Kipute Cha Ruben FM Cup.
Na HEART MEDIA Jumanne, 3 Septemba 2024 TIMU ya Nyati FC na Gateway FC kila moja imezoa alama tatu na kutinga 16 bora kwenye mechi za...
heartmediak4
Sep 3, 20242 min read


Omena, Ziwani Allstars Zaanza Vyema Kampeni za Koth Biro Cup
Na HEART MEDIA Ijumaa, 30 Agosti 2024 OMENA FC na Ziwani All Stars kila moja imepata mwanzo mzuri kwenye mechi za makala ya saba kuwania...
heartmediak4
Aug 30, 20242 min read


Mechi Za NERL Kukunja Jamvi Wikendi Hii, Huku Kariobangi Legends Youth Ikijivunia Kumaliza Kibabe
Na HEART MEDIA Ijumaa, 30 Agosti 2024 KAMPENI za FKF Kundi B Ligi ya Kanda ya Nairobi Mashariki (NWRL) zitakamilika wikendi hii, baada ya...
heartmediak4
Aug 30, 20242 min read


Ruben FM Cup Wikendi Hii: Nyati FC, Corinthians FC Kila Moja 'Ni Must Win'
Na HEART MEDIA Ijumaa, 30 Agosti 2024. NYATI FC na Corinthians FC kila moja ina mtihani mgumu wikendi hii kwenye kampeni za makala ya...
heartmediak4
Aug 30, 20242 min read


Koth Biro: Ruaraka All Stars Yararua Biafra Kamaliza
Na HEART MEDIA Alhamisi, 29 Agosti 2024 TIMU ya Ruaraka All Stars imekomoa Biafra Kamaliza FC kwa mabao 3-0 kwenye mechi za makala ya 47...
heartmediak4
Aug 29, 20242 min read


Shofco Pabaya Kwenye Mbio za Ruben FM Huku Creative Hands, Kamongo Zikitamba
Na HEART MEDIA Jumanne, 27 Agosti 2024 SHOFCO Mukuru FC imejipata hoi kwenye kampeni za kuwania taji la Ruben FM Cup baada ya kutoka bao...
heartmediak4
Aug 27, 20241 min read


NERL: Lucky Summer Imeketi Mkao wa Subira Ikitegea Tiketi ya Daraja la Pili
Na HEART MEDIA Jumanne, 27 Agosti 2024 LUCKY Summer imeibuka ya pili kwenye mechi za FKF Kundi B Ligi ya Kanda ya Nairobi Mashariki...
heartmediak4
Aug 27, 20242 min read


Leads United Yaadhibu Mlango United Ngarambe ya Koth Biro
Na HEART MEDIA Jumanne, 27 Agosti 2024. LEADS United imefungua kampeni zake vyema kwenye mbio za kuwania makala ya 47 taji la Koth Biro...
heartmediak4
Aug 27, 20242 min read


Ruben FM Cup: Meteorite, Real Warriors, United Kings Zatamba
Na HEART MEDIA Jumapili, 25 Agosti 2024. MICHUANO ya makala ya saba kuwania taji la Ruben FM Cup inaendelea kuchacha huku washiriki...
heartmediak4
Aug 25, 20242 min read


Ruben FM Cup: Kivumbi Kikali Kinanukia Huku Ikitinga Raundi ya 3
Na HEART MEDIA Ijumaa, 23 Agosti 2024 MICHUANO ya soka kufukuzia ubingwa wa makala ya saba ya Ruben FM Cup inaingia wiki ya tatu...
heartmediak4
Aug 23, 20242 min read
bottom of page