top of page


Wilson Aviators, Creative Hands Patachimbika Fainali ya Ruben FM Cup
Na HEART MEDIA Ijumaa, 4 Septemba 2024 KIVUMBI kikali kinatazamiwa kushuhudiwa wikendi hii kwenye michuano ya kutamatisha ngarambe ya...
heartmediak4
Oct 4, 20242 min read


Ruben FM Cup: St Josephs Starlets Waleteni Hao Wana Desert Venom
Na HEART MEDIA Ijumaa, 4 Septemba 2024 KAMPENI za makala ya saba kuwania taji la Ruben FM Cup zitafikia kikomo wikendi hii. Fainali ya...
heartmediak4
Oct 4, 20241 min read


Wilson Aviators Yatetemesha Dimba la Ruben FM Cup
Na HEART MEDIA Jumanne, 1 Oktoba 2024 TIMU ya wanaume ya Wilson Aviators inazidi kushangaza wengi baada ya kujikatia tiketi ya kushiriki...
heartmediak4
Oct 1, 20241 min read


Kipute cha Ruben FM Cup Kupata Bingwa Mpya Msimu huu
Na HEART MEDIA Jumanne, 1 Oktoba 2024 SHINDANO la kuwania taji la Ruben Cup la makala ya saba kitengo cha wanawake msimu huu...
heartmediak4
Oct 1, 20241 min read


Vipusa wa Kenya Wamaliza Kibabe Kwenye Bowling ya Kombe la Afrika
Na HEART MEDIA Ijumaa, 27 Septemba 2024 TIMU ya taifa ya wanawake ya mchezo wa Bowling ilimaliza kibabe ilipotwaa medali ya fedha kwenye...
heartmediak4
Sep 27, 20242 min read


Mechi za Nusu Fainali za Ruben FM Cup Kupigwa Jumapili hii
Na HEART MEDIA Ijumaa, 27 Septemba 2024 MECHI za nusu fainali za makala ya saba kuwania taji la Ruben FM Cup zitachezwa Jumapili hii ...
heartmediak4
Sep 27, 20241 min read


Ruben FM Cup: Embakasi South Ladies Inahitaji Muujiza
Na HEART MEDIA Ijumaa, 27 Septemba 2024 TIMU ya wanawake ya Embakasi South Ladies United Jumamosi hii tarehe 28 Septemba 2024 itahitaji...
heartmediak4
Sep 27, 20241 min read


Timu Limbukeni Zimeendelea Kutesa Kipute cha Ruben FM Cup
Na HEART MEDIA Jumanne, 24 Septemba 2024 TIMU ya Wilson Aviators na Meteorite FC zimeendelea kushangaza wengi baada ya kila moja...
heartmediak4
Sep 24, 20242 min read


Ruben FM Cup: Embakasi South Ladies Imeapa Kukiwacha
Na HEART MEDIA Jumamosi, 21 Septemba 2024 KLABU ya wanawake ya Embakasi South Ladies United imeapa kupambana mwanzo mwisho itakapokabili...
heartmediak4
Sep 21, 20241 min read


Kivumbi Kikali Kinanukia Robo Fainali Ruben FM Cup
Na HEART MEDIA Jumamosi,21 Septemba 2024 KIVUMBI kikali kinatazamiwa kushuhudiwa Jumapili hii tarehe 22 Septemba 2024 kwenye mechi za...
heartmediak4
Sep 21, 20242 min read


Omena FC Yamaliza Kibabe na Kusonga Mbele Ngarambe ya Kothbiro
Na HEART MEDIA Jumamosi, 21 Septemba 2024 OMENA FC imemaliza kibabe mchujo wa Kundi E kwenye kampeni za makala ya 47 kuwania taji la...
heartmediak4
Sep 21, 20242 min read


Koth Biro: Timu 3 Kusubiri Mwaka 1 Kuwania taji hilo
Na HEART MEDIA Alhamisi, 18 Septemba 2024 TIMU ya Mlango, Shauri Moyo Sporiff na Kingpower FC zimetanguliwa kubanduliwa kwenye mechi za...
heartmediak4
Sep 18, 20242 min read


Kahliweed, Kayole Select Zatinga Raundi ya 16 Bora Kipute cha Kothbiro
Na HEART MEDIA Alhamisi, 18 Septemba 2024 TIMU ya Kahliweed FC na Kayole Select zinajiandaa kutifua vumbi kwenye mechi za raundi ya 16...
heartmediak4
Sep 18, 20242 min read


Mwenyekiti wa K.L. Y Amepongeza Vijana wake huku Saba Wakitimuliwa
Na HERAT MEDIA Jumanne, 17 Septemba 2024 MWENYEKITI wa Kariobangi Legends Youth (K.L.Y), Eric Atanga Otieno amepongeza vijana wake kwa...
heartmediak4
Sep 17, 20241 min read


Vikosi Vya Bowling Tayari Kushiriki Ngarambe ya Afrika
Na HEART MEDIA Jumatatu, 16 Septemba 2024 TIMU za taifa za mchezo wa Bowling, wanaume na wanawake tayari kushiriki kipute cha Kombe la...
heartmediak4
Sep 16, 20242 min read


Washiriki Wapya Wajitosa Robo Fainali za Ruben FM Cup
Na HEART MEDIA Jumatatu, 16 Septemba 2024 MECHI za raundi ya 16 bora za makala ya saba kuwania taji la Ruben FM Cup zilishuhudia...
heartmediak4
Sep 16, 20242 min read


Ruben FM Cup: Mechi za 16-Bora Kupigwa Wikendi hii
Na HEART MEDIA Ijumaa, 13 Septemba 2024 KIVUMBI kikali kinatazamiwa kushuhudiwa wikendi hii kwenye mechi za raundi ya 16 bora za makala...
heartmediak4
Sep 13, 20242 min read


Ngarambe ya Koth Biro Kuingia Raundi ya 3 Wikendi hii
Na HEART MEDIA Ijumaa, 13 Septemba 2024 MECHI za makala ya 47 kuwania taji la Koth Biro zimeratibiwa kuingia raundi ya tatu wikendi hii...
heartmediak4
Sep 13, 20242 min read


Kariobangi Legends Wazee Yazamisha Babadogo Wazee Japo Kirafiki
Na HEART MEDIA Jumanne, 10 Septemba 2024 TIMU ya Kariobangi Legends Wazee imeendeleza ubabe wake baada ya kuidunga Babadogo Wazee kwa...
heartmediak4
Sep 10, 20241 min read


Shirikisho la Bowling Limetaja Wachezaji wa Timu za Taifa Kushiriki Kombe la Afrika
Na HEART MEDIA Jumanne, 10 Septemba 2024. SHIRIKISHO la Kenya Bowling (KB) limetoa orodha ya mwisho ya wachezaji kumi wa timu za taifa...
heartmediak4
Sep 10, 20241 min read
bottom of page