top of page


Kariobangi L. Youth, Gikuni Utd Kazi Imeanza Daraja la Pili
Na HEART MEDIA Jumanne, 5 Novemba 2024 KARIOBANGI Legends Youth ilikandamiza Utafiti FC kwa mabao 5-0 kwenye mechi ya Kundi C kuwania...
heartmediak4
Nov 5, 20241 min read


Kariobangi Legends Youth Kutifua Vumbi Dhidi ya Utafiti Daraja la Pili
Na HEART MEDIA Ijumaa, 1 Novemba 2024 MECHI za Kundi C kuwania Ligi ya Taifa Daraja la Pili wikendi hii zinaingia raundi ya nne ambapo...
heartmediak4
Nov 1, 20241 min read


KVF Yazindua Tovuti , Mipango ya Kutangaza Mchezo Huo Kimataifa
Na HEART MEDIA Jumatano 30, Oktoba 2024. SHIRIKISHO la voliboli ya Kenya (KVF) limezindua tovuti itakayokuwa ikipakiwa habari zote kuhusu...
heartmediak4
Oct 30, 20242 min read


Midume wa Kenya Waibuka 10 Kombe la Dunia Hoki ya Masters
Na HERAT MEDIA Ijumaa, 25 Oktoba 2024 TIMU ya taifa ya wanaume kwa waliozidi umri wa miaka 40 ilimaliza nafasi ya kumi kwenye shindano la...
heartmediak4
Oct 25, 20242 min read


Kariobangi Legends Wazee Mtaikoma Mazee
Na HEART MEDIA Ijumaa, 25 Oktoba 2024 BILA shaka Kariobangi Legends Wazee inazidi kukomaa kinoma kwenye migarazano ya kirafiki dhidi ya...
heartmediak4
Oct 25, 20241 min read


Mathare Flames, Mathare Queens Mabingwa Eastlando Moyo Bet Cup
Na HEART MEDIA Jumatano, 23 Oktoba 2024 TIMU ya wanaume ya Mathare Flames na kina dada wa Mathare Queens zimeonyesha ubabe wazo na kutwaa...
heartmediak4
Oct 23, 20242 min read


Gikuni, Kariobangi Legends Youth Kila Moja Mzigoni Daraja 2
Na HEART MEDIA Jumamosi, 19 Oktoba 2024 KIVUMBI kikali kinatazamiwa kushuhudiwa kwenye mechi za Kundi C kufukuzia taji la Ligi ya Taifa...
heartmediak4
Oct 19, 20242 min read


Nane Zajipanga Kisa Moyo Bet Cup
Na HEART MEDIA Jumanne, 15 Oktoba 2024 TIMU nane zimethibitisha kushiriki shindano la makala ya kwanza kuwania taji la Moyo Bet Cup...
heartmediak4
Oct 15, 20242 min read


Kenya, Sinapore Kitaeleweka Kombe la Dunia la Hoki ya Masters Jumatano hii.
Na HEART MEDIA Jumanne 15, Oktoba 2024 TIMU ya taifa ya wanaume kwa waliozidi umri wa miaka 40 Jumatano hii tarehe 16, Oktoba 2024...
heartmediak4
Oct 15, 20242 min read


Gikuni United Mwanzo Mbaya Ligi ya Daraja la Pili
Na HEART MEDIA Jumanne 15, Oktoba 2024 GIKUNI United ilidungwa bao 1-0 na Kariobangi Legends Youth kwenye mechi za Kundi C katika kampeni...
heartmediak4
Oct 15, 20242 min read


44 Legends Yaona Giza Ugenini Japo Kirafiki
Na HEART MEDIA Jumanne, 15 Oktoba 2024 TIMU ya 44 Legends ilirejea makwao mikono mitupu ilipobamizwa kwa mabao 2-0 na wenyeji wao...
heartmediak4
Oct 15, 20241 min read


Vipusa wa Twinkle Wapiga Hatua Magongo ya Supa Ligi
Na HEART MEDIA Jumapili, 13 Oktoba 2024 Na HEART MEDIA Jumapili, 13 Oktoba 2024 TIMU ya wanawake ya mpira wa magongo ya Twinkle inahitaji...
heartmediak4
Oct 13, 20241 min read


Kariobangi Legends Youth Kukabili Gikuna Kwenye Ufunguzi wa Daraja la Pili
Na HEART MEDIA Jumamosi, 12 Oktoba 2024 JUMLA ya mechi tano zimeratibiwa kuchezwa Jumapili hii tarehe, 13 Oktoba 2024 kwenye ratiba ya...
heartmediak4
Oct 12, 20241 min read


Kariobangi Legends Wazee Inazidi Kurarua Wapinzani Wao Japo Kirafiki
Na HERAT MEDIA Ijumaa, 11 Oktoba 2024. KARIOBANGI Legends Wazee inazidi kutetemesha wapinzani wao kwenye mechi za kirafiki huku...
heartmediak4
Oct 11, 20241 min read


Masters Hockey: Kenya Kufungua Ngarambe ya Kombe la Dunia Dhidi ya Malaysia
Na HEART MEDIA Ijumaa, 11 Oktoba 2024 MICHUANO ya magongo ya Masters kuwania taji la Kombe la Dunia kitengo cha wanaume na wanawake kwa...
heartmediak4
Oct 11, 20242 min read


MAGONGOWanaume wa Magongo ya Masters Wamo Afrika Kusini Kushiriki Kombe la Dunia
Na HEART MEDIA Jumatano, 9 Oktoba 2024 TIMU ya taifa ya wanaume ya magongo ya Masters kwa waliozidi umri wa miaka 40 jana jioni ilitua...
heartmediak4
Oct 9, 20242 min read


Luyali: Uongozi Wetu Utazingatia Uwazi, Uadilifu na Uwajibikaji
Na HEART MEDIA Jumanne, 8 Oktoba 2024 MWANIAJI wa wadhifa wa Mwenyekiti wa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) Kanda ya Nairobi Mashariki,...
heartmediak4
Oct 8, 20242 min read


Vidume wa Wilson Aviators, Vijike wa St Josephs Starlets Wababe Ruben FM Cup
Na HEART MEDIA Jumanne, 8 Oktoba 2024 TIMU ya wanaume ya Wilson Aviators na wanawake wa St Josephs Starlets zimeibuka wababe wa shindano...
heartmediak4
Oct 8, 20243 min read


Assassins, Sparrows Za KU Mtazikubali Voliboli ya NANOKUSF
Na HEART MEDIA Jumanne, 8 Oktoba 2024 TIMU za Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU) maarufu Assassins na Sparrows kitengo cha wanaume na wanawake...
heartmediak4
Oct 8, 20242 min read


Vikosi Vya KU Mzigoni Voliboli ya Ligi ya Vyuo Vikuu Kanda ya NRB Kaskazini.
Na HEART MEDIA Ijumaa, 4 Septemba 2024 KAMPENI za Voliboli ya Ligi ya Vyuo Vikuu vya Kenya (KUSF) Kanda ya Nairobi Kazkasini zimepangwa...
heartmediak4
Oct 4, 20242 min read
bottom of page